Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Noma sana!Ila usiogope hata Mungu tunampiga mizinga kila siku.ππππHii tabia binafsi imenishinda kabisa hata kama niwe na shida gani.
Labda nikope
Lakini utakuta mwingine hana aibu, popote pale hata mtu ambae hamjui " mwanangu una elfu tatu karibu hapo..."
Au hata bar " mwanangu na Mimi moja basi"...
Hivi huo ujasiri mnapata wapi?
Achana na wale ombaomba wa barabarani.
Kupiga mizinga ni kipaji.Wengine wanakufa huku wanatukutia moyoni tu.Ni uwezo fulani wa ajabu kama kutongoza tu.MKUU KUNA LEVELS UKIFIKIA HUWEZI KUPIGA MIZINGA(Hii inakuja automatically)...mf.tumekutana bar mimi ni mnywaji wa CP(captain morgan) naanzaje kukupiga mznga wa 50k
Kina nani hao mkuu but who are they doing big thingsWengine siku hizi wanakuja pm wanakuomba buku tano au ten.