Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahindi asili yao ni cricket, mpira wa miguu waliuacha baada ya FIFA kuwawekea ngumu kucheza miguu peku...kwanzia hapo walisusa
Hapo penye red, unaweza kufafanua vzr naona imekaa kifix fix tu!
we jua hivyo....habari ndio hiyo
we jua hivyo....habari ndio hiyo
Hahahaaa...naona nimekushika pabaya! Ndo mana najivunia kuwa m-bongo
wahindi asili yao ni cricket, mpira wa miguu waliuacha baada ya FIFA kuwawekea ngumu kucheza miguu peku...kwanzia hapo walisusa
Walipo ng'ang'aniwa sana nasikia wakachaguwa makubazi...!wahindi asili yao ni cricket, mpira wa miguu waliuacha baada ya FIFA kuwawekea ngumu kucheza miguu peku...kwanzia hapo walisusa
Naona wahindi tunatoka nao droo.
Kwenye soka wahindi hatuwezi kabisaa! japokuwa sisi wenyewe bado viraza unajua zile kachori za piripiri zinawafanya wasiweze kuhimili mikiki ya dk 90+.
india ni nchi kama tz. Mbona hauishangai tz? Mbona haushangai kuwa ukitoa West Africa na waarabu na SA mbona hakuna tena taifa kwenye WC?
india ni nchi kama tz. Mbona hauishangai tz? Mbona haushangai kuwa ukitoa West Africa na waarabu na SA mbona hakuna tena taifa kwenye WC?
Mkuu kubali tu kwamba some people are more equal than others.Tanzania si kama India, nyanja zote wametuzidi. Mpaka tutakapotambua jinsi tulivyo (Tanzania) duni, tuanze moja ndo tutaweza kuendelea. Otherwise viongozi watafisadi wee mpaka nchi i-colapse wa-kiforce wao na si nchi kulingana nao (waarabu, wahindi, wachina, wazungu n.k)