super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
NAPITA TUU:flypig:
Hivi kwann mke wa mtu, kwa nini Mume wa mtu?!?!?!
Starehe ya mda mfupi hiyo kumbuka, na ni kwamba unashindwa kucontrol ur desires!!!aaggggrrrrrrhh,achaa aa!!
me naitaman hyo superglue nimuwekee bamsapu /mapi/
watumalize tu, ile kitu ya kuiba tamu sana!bwana weee waambie siku hizi ukikutwa unamalizwa hapohapo.hamna longolongo
NAPITA TUU