Hivi WikiLeaks kuna documents au siri zozote za taifa la Tanzania?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Leo nilikuwa katika kuperuzi mtandao wa Wikileaks lakini mengi ninayoyaona ni mavujisho ya nchi za wenzetu, je kuna ubuyu wowote wa kitanzania ulishawahi mwagwa Wikileaks? naomba unipe link.
 
Mwingi tu..suti za kempinski, udaku wa Mark Green!
 
Leo nilikuwa katika kuperuzi mtandao wa Wikileaks lakini mengi ninayoyaona ni mavujisho ya nchi za wenzetu, je kuna ubuyu wowote wa kitanzania ulishawahi mwagwa Wikileaks? naomba unipe link.

na nyingine ya babu mengi kutapeli watu ardhi ipo mle!
 
Leo nilikuwa katika kuperuzi mtandao wa Wikileaks lakini mengi ninayoyaona ni mavujisho ya nchi za wenzetu, je kuna ubuyu wowote wa kitanzania ulishawahi mwagwa Wikileaks? naomba unipe link.

Siri za TZ hazihitaji uhangaike kote huko.
Kwanza hakujawa na siri zenye kiwango cha kutunzwa huko mkuu.
 
Hahahaha haina madhara sana kwa kuwa imeandikwa kidhungu halafu ndefu sana....

Tunajijua wa TZ hata humu JF weka tu habari ya one page basi reply zitakuonyesha kuwa members hawajasoma
 
Back
Top Bottom