kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kumbe kwenye majukwaa mengine huku huwa una michango mizuri hivi!!Wangetangaza kuwauwa marefa kwa kuwapiga kabari.
Simba kama klabu pia wanapaswa kupeleka shauri kwa tff waamuzi kuwalinda wachezaji wa Simba kwa faulo wanazofanyiwa kisha marefa wanaacha.
Marefarii wasipotoa adhabu itapelekea wacheza wanaofanya faulo kuona waposahihi.
Wachezaji watakapopata majeraha wataakaa nje,na kupelekea kushuka viwango vyao kwa kukosa kucheza kwa muda.
Kwa viwango vya wachezaji wa Simba kuna uwezekano wa kuuza awa wacheza kwenye klabu yoyote Africa na nje ya Africa.
Marefarii wawalinde wachezaji wa Simba kutokana na ngumi zinazorushwa na wakina Niyonzima.
Mkuu ata kwenye mpira uwanjani naupiga mwingi sana,namzidi mbali sana Nchimbi na mwenzie Fiston.Kumbe kwenye majukwaa mengine huku huwa una michango mizuri hivi!!
Kongole kwa mchango bora kabisa.
Kongole tena mkuu.Mkuu ata kwenye mpira uwanjani naupiga mwingi sana,namzidi mbali sana Nchimbi na mwenzie Fiston.
Ahsante.Kongole tena mkuu.
This is Simba.
Unachezea ligi gani?Mkuu ata kwenye mpira uwanjani naupiga mwingi sana,namzidi mbali sana Nchimbi na mwenzie Fiston.
Akuna kuchezea ligi gani mkuu,nafanya kama part time tu kuweka mwili sawa,sichezi mpira kama kazi.Unachezea ligi gani?