Elections 2010 Hivi yale malori ya kubeba wasikilizaji yapo kuwapeleka vituoni kesho?

Elections 2010 Hivi yale malori ya kubeba wasikilizaji yapo kuwapeleka vituoni kesho?

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
578
Reaction score
144
Hawa jamaa wa kijani walikuwa wanasafirisha watu kuwasikiliza, sasa sijajua kama watawabeba kesho au?
 
wamegawa buku tanotano kwa ajili ya nauli
 
watajiju nani aliwaambia wafuate mkumbo hapo ukute hata mtu hana nauli ya kurudi home,jaman watu wengine akili zao u cannot imagine wanawaza nn,apo na bado atampa kura uyo uyo aliemtosa...mungu wasaidie wafunguke macho
 
cha kushukuru wote wale ni vilaza wakifika kupiga kura watakuwa wameshamsahau kikwete kwa hiyo watampa slaaaa, maana hawajui hata kusoma:doh:
 
hivi kuna sheria tanzania inayoruhusu kusafirisha watu kwenyee maloro?
 
cha kushukuru wote wale ni vilaza wakifika kupiga kura watakuwa wameshamsahau kikwete kwa hiyo watampa slaaaa, maana hawajui hata kusoma:doh:

Walitaka kuwatumia kutuhadaa kwamba wanasupporters wengi ila kwenye visanduku, watajua wenyewe
 
hivi kuna sheria tanzania inayoruhusu kusafirisha watu kwenyee maloro?

hii nchi sheria huwa wanazipindisha tu kama wanavyotaka. Utasikia wengine wanahutubia hadi saa moja na sheria haichukui mkondo wake.
 
Back
Top Bottom