Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ninaandika hii nikikumbuka tamthilia ya Kenya iliigizwa na Lupita Nyon’go kabla hajakwenda Hollywood.
Vijana walianza mapenzi shuleni. Baada ya kumaliza kidato cha nne waliamua kwenda Nairobi kutafuta maisha. Maisha yalikuwa magumu lakini kijana alianza kufanya vibarua mpaka walifanikiwa kupangisha chumba.
Dream ya kijana ilikuwa kupata kazi ya ulinzi. Bidada alipata kazi kama waitress kwenye mgahawa. Maisha nyumbani yalikuwa magunu kuna siku walipisha siku bila ya kula.
Kule kwenye mgahawa bidada alianza uchangu doa. Alianza kurudi nyumbani na chips kuku na kununua mawig na viatu vya bei mbaya.
Kijana alifanikiwa kupata kazi ya ulinzi kwa tajiri kijana huko uzunguni. Siku moja akiwa kazini tajiri kijana alirudi na changu doa akiwa ni yule girlfriend wake. Kijana alishindwa kujizuia alianzisha fujo. Aliishia kuitiwa polisi lakini bibie alimuombea msamaha ingawa kibarua kilipotea.