ndiyo namjua,huyu si alikuwa TEMBO wa TMK??Unamjua mkubwa fela wewe
Wabongo wanatakiwa wajifunze kuwa msanii ndio boss, wala sio meneja au promoter. Wale vijana walitakiwa wamwajiri Mkubwa Fella kama mfanyakazi wala sio Mungu mtu.
Hii ni kwasababu msanii anakuwa ana njaa hajulikani hajatoka hakuna anayemjua. Anakutana na mtu kama fella, fella anampeleka studio, anarekodi anasambaza kazi yake anatoa ela ya video msanii anatoka. Sasa hapa boss kati ya wawili ni nani?Ndio hapo hasaa walifanya mistake na wasanii wengi bongo wana haribikiwa na kuisha kabisaa kwa ajili hii
Ukimtoa Enock Bella ila wengine waliobaki hata kama unadai hawapati promo la clouds kama zamani but kwa hilo hilo promo dogo wana mafanikio ya kiuchumi kuliko walivyokuwa kwa Fella.Naona watu wana-point fingers kwa Said Fella, well mbona now wametoka bado wengine wanasota mfano; Enock Bella, Beka Flavor even now Aslay sio yule ambaye Clouds kila wakati walikuwa wanampa promo!. Nadhani vijana walishindwa kujitambua na kuchagua ipi pumba upi mchele, ukifuatilia interviews zao hasa Beka flavor anadai wao ndio wali-push kuondoka before hajapewa go ahead na Fella, leo baadhi yao wametoka kwenye mainstream. Bongo msanii akifanikiwa basi lazima watokee "WANAFIKI" nyuma na kumpamba kwamba pale alipo hastahili yaani ananyonywa so mwenye akili atapuuza mjinga ataingia mkenge siku ya siku he/she's alone wanamkimbia!!