Hivi yanga haina wachezaji wa kusaidia kuzindua jezi?

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,660
Reaction score
6,282
Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi atavaa manara uwanjani? Mwisho yanga watengeneze timu wasitengeneze mtu.
 
[emoji15][emoji15][emoji15] mmhhh yetu [emoji102][emoji102]
 
Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi atavaa manara uwanjani? Mwisho yanga watengeneze timu wasitengeneze mtu.
Manara ndio usajili ghali pekee tuliyetambuliswa jana. Magarasa mengine mtayaona weekend
 
Wapo wachezaji waliotambulisha jezi ila hazikiwatoa poa kabisa.
 
Hayo ndiyo Mambumbumbu yenyewe aliyoyaongelea Rage
Huku Simba tuna wapumbavu pia mkuu. Feisal na Dickson Job wamevaa jezi leo anasimama na kusema upuuzi.

Kuna wakati huwa naamini ujinga haujali umri wa mtu wala matatizo yake ya uchumi, ukiamua kumvaa mtu unamvaa haswaa.
 
Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi atavaa manara uwanjani? Mwisho yanga watengeneze timu wasitengeneze mtu.
 
Mikia mnatia huruma aisee,nimehesabu thread zilizoanzishwa na mikia humu jf kuhusu Yanga kwa leo peke yake hii thread ya 16

Screenshot_20210825-160252_Instagram.jpg

Screenshot_20210825-160232_Instagram.jpg

Screenshot_20210825-160154_Instagram.jpg
 
Wachezaji watazivaa uwanjani muda ukifika...
 
Back
Top Bottom