pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Kwani hujaona wachezaji kama Dickson Job, Feisal wakiwa wamevaa hizo jezi.
Kuna wakati tunaonekana wapumbavu kwa kila kitu kwa uhaba wa uroto kwenye mifupa yetu.
[emoji15][emoji15][emoji15] mmhhh yetu [emoji102][emoji102]Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi atavaa manara uwanjani? Mwisho yanga watengeneze timu wasitengeneze mtu.
Mimi si miongoni mwa hao Yanga, ni shabiki na mwanachama wa Simba.povuuu kama lote
Manara ndio usajili ghali pekee tuliyetambuliswa jana. Magarasa mengine mtayaona weekendVilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi atavaa manara uwanjani? Mwisho yanga watengeneze timu wasitengeneze mtu.
Sikuona na mbona manara kapewa promo za kutosha na hizi jezi?Wapo wachezaji waliotambulisha jezi ila hazikiwatoa poa kabisa.
Weka pichaMhhhh mbona fei kavaa jaman
Aisee!!Nasikitika kuona Simba tuna watu wapumbavu kiasi hiki. Nyie inaonekana mlikuja Simba kwa sababu ya Manara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mbao za Mawe unampasua mtu mifupa naonaKwani hujaona wachezaji kama Dickson Job, Feisal wakiwa wamevaa hizo jezi.
Kuna wakati tunaonekana wapumbavu kwa kila kitu kwa uhaba wa uroto kwenye mifupa yetu.
Hayo ndiyo Mambumbumbu yenyewe aliyoyaongelea RageNasikitika kuona Simba tuna watu wapumbavu kiasi hiki. Nyie inaonekana mlikuja Simba kwa sababu ya Manara.
Hiyo ni kwa ajili ya biashara na itawalipa yangaSikuona na mbona manara kapewa promo za kutosha na hizi jezi?
Huku Simba tuna wapumbavu pia mkuu. Feisal na Dickson Job wamevaa jezi leo anasimama na kusema upuuzi.Hayo ndiyo Mambumbumbu yenyewe aliyoyaongelea Rage
Manara kupewa PROMO ni mkakati makusudi wa kuweka hamasa ktk uzinduzi wa jezi mpya. 2 in 1 (Manara kajiunga Yanga + uzinduzi wa jezi mpya)Sikuona na mbona manara kapewa promo za kutosha na hizi jezi?
Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi atavaa manara uwanjani? Mwisho yanga watengeneze timu wasitengeneze mtu.