kama ni hivyo basi ungeichukia hiyo product hata kabla ya tangazo.... Kwangu mimi naichukia au kuipenda product kwa zile 4P......... Place (sehemu inakozalishwa tolewa na hatimaye kuuzwa, Product (Ubora), Price (gharama zake zikoje ukilinganisha na ubora) na Packaging (inafungwaje etc). Siwezi kuacha kukipenda kitu kwa sababu ya tangazo wakati nafurahia ubora, bei, mahala kinapozalishwa na kuuzwa etc etc....