Researcher
Senior Member
- Dec 15, 2010
- 187
- 48
Na Ashe Hassan
Mtoto Subira Ally (12), Mkazi wa Kijiji cha Malema, Kata ya Maratani, wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara ......
Jana 03/08/2011 nilikuwa nilikuwa nasoma makala moja kwenye gazeti la Raia Mwema inasema kuwa watu wengi waliokunywa dawa ya babu na kucheki HIV status baada ya siku 90 wamekutwa bado wanavyo,wengi wao wameilaumu serikali kwa kuwaaminisha kuwa inaponya.Hapo ndo nashindwa kuelewa hii nguvu ya dawa imepotelea wapi.Raia walikuwa hawasikii lolote juu ya tiba ya babu...sasa hivi walioenda mmoja mmoja anarudia dawa zake.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...Neno la Bwana lasema.
kwa mujbu wa gazeti la leo tarehe 04/08 linasema kwamba kutokana na utafiti uliofanywa na taasisi ya synovate umeonesha kwamba asilimia 78 ya watu waliopiga kikombe wamepona. mzee kikombe bado kipo ila wadau wamepungua kwa kuwa yale maradhi yao yale hakuna dalili yoyot e ya kutibikaVile vikombe vilivyokuwa vinaibuka kila uchao siku hizi havisikiki tena,Si kwa babu,Tabora,Mbeya wala wapi sijui au ndo tunapisha bunge kwanza ndo viendelee?Au huduma imesitishwa?Mlioko kwenye maeneo ya tukio/mwenye habari tujuzeni.
Mkuu ina maana kuna taarifa zinazokinzana kuhusu ponya ya tiba hii?kwa mujbu wa gazeti la leo tarehe 04/08 linasema kwamba kutokana na utafiti uliofanywa na taasisi ya synovate umeonesha kwamba asilimia 78 ya watu waliopiga kikombe wamepona. mzee kikombe bado kipo ila wadau wamepungua kwa kuwa yale maradhi yao yale hakuna dalili yoyot e ya kutibika
Jana 03/08/2011 nilikuwa nilikuwa nasoma makala moja kwenye gazeti la Raia Mwema inasema kuwa watu wengi waliokunywa dawa ya babu na kucheki HIV status baada ya siku 90 wamekutwa bado wanavyo,wengi wao wameilaumu serikali kwa kuwaaminisha kuwa inaponya.Hapo ndo nashindwa kuelewa hii nguvu ya dawa imepotelea wapi.
kwa mujbu wa gazeti la leo tarehe 04/08 linasema kwamba kutokana na utafiti uliofanywa na taasisi ya synovate umeonesha kwamba asilimia 78 ya watu waliopiga kikombe wamepona. mzee kikombe bado kipo ila wadau wamepungua kwa kuwa yale maradhi yao yale hakuna dalili yoyot e ya kutibika
Ukiona mtu anapinga sana dawa za asili basi ujue anafaidika kwa namna moja ama nyingine na Uingizwaji wa ARVs, na hivyo anahofia watu wakizinduka na kurudia ASILI basi zitamuozea!..Short and clear!Ukiona mtu anatetea huu USHENZI wa kutibu ukimwi ata akiwa mchungaji fulani basi kuna haya yafuatayoUkweli ukimwi haujapata tiba na hasa hiyo ya babu ni ushabiki tu. Ni UPATU uliopitishwa kihuni kwenye jina la Mungu.
- yeye au ndugu yake anaumwa na hivyo anajipa maope ya kipuuzi baadala ya kuendeleza ARV
- nafaidika na mpango huo mija kwa moja
- ni extremity wa dini inayo husika ata kama ni uwongo basi ataunga mkono
- ni mpotoshaji
- si mtu makini
Ukiona mtu anapinga sana dawa za asili basi ujue anafaidika kwa namna moja ama nyingine na Uingizwaji wa ARVs, na hivyo anahofia watu wakizinduka na kurudia ASILI basi zitamuozea!..Short and clear!
Umesema kweli mkuu.Huo utafiti ni wa Kisayansi au ni ile ya kwenda na kumwuliza mtu akasema amepona! Tafiti kama hizi zitatufanya tubweteke. Mimi ntakuwa mwisho kuamini upuuzi huu. Babu haponyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wakuu, ebu gonga ARV. Achana na synovete

Kuna mtoto wa miaka kumi na mbili, anadai anamfahamu vizuri babu sababu wanakua nae baharini na makaburini, nae anatoa KIkombe.

source>WAPO RADIO YALIYOTOKEA 5/8/2011.

Kikombe bado kipo,subiri wapiga picha watakapo rudi toka dodoma.