Hivi yule jamaa wa magunia ya mkaa aliingizwa GEREJI nini pale central?

Hivi yule jamaa wa magunia ya mkaa aliingizwa GEREJI nini pale central?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Nliwahi kuskia kuwa kuna kitengo maalum huko vituoni, panaitwa Gereji [emoji16][emoji16], naskia huko ukiingizwa wanatia mashuti ya hatari ni lazima useme ukweli tu. yule jamaa wa magunia ya mkaa kule kigamboni nahisi alipelekwa mule maana sio kwa kukiri mwenyewe hadi kwenda kuonyesha location[emoji23]

Vijana tupige kazi, tufuate sheria ukipelekwa gereji pmb* zikawekwa zikafungwa jiwe la kilo kumi zikaning'inizwa hutosahau, tufuate sheria la sivyo gereji itatuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hiyo adhabu ni Kali sana.
 
Back
Top Bottom