Hivi yule mdada aliodai kuzaa na Lowassa aliishia wapi?

Hivi yule mdada aliodai kuzaa na Lowassa aliishia wapi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Siasa ni nzuri kama upo upande wa walioshikilia mpini wa jembe tofauti na hapo utalimwa sana.
Screenshot_20240215_221728_Instagram.jpg
 
Pumbavu sana kama hujui kitu nenda kakojoe ulale acha kuleta uharo humu.
 
Ninafikili alisema yeye ni mtoto wa lowasa ila alitelekezwa,

Yule alitumwa na watu sasa lowasa alisema wakapime dam kama sio mwanae atamlipa kwa udhalilishaji, niona waliomtuma wakajua hii itakula kwetu maana kesi kama ile lowasa angelipwa pesa nyingi sana, wakawai kumuomba msaamaha, lowasa aliombwa msamaha yakaisha
 
Back
Top Bottom