Ninafikili alisema yeye ni mtoto wa lowasa ila alitelekezwa,
Yule alitumwa na watu sasa lowasa alisema wakapime dam kama sio mwanae atamlipa kwa udhalilishaji, niona waliomtuma wakajua hii itakula kwetu maana kesi kama ile lowasa angelipwa pesa nyingi sana, wakawai kumuomba msaamaha, lowasa aliombwa msamaha yakaisha