Wakulonga JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 762 Reaction score 771 Apr 22, 2019 #1 Leo nimeona jinsi Bob Wine allivyokamtwa nimemkumbuka sana huyu Besigye ambaye alionekana kuwa machachari kwenye siasa za Uganda. Kama kweli ana nia thabiti ya kumng’oa M7 basi aungane na huyu dogo. Pamoja wataweza hata Sudani ilikuwa kama Uganda
Leo nimeona jinsi Bob Wine allivyokamtwa nimemkumbuka sana huyu Besigye ambaye alionekana kuwa machachari kwenye siasa za Uganda. Kama kweli ana nia thabiti ya kumng’oa M7 basi aungane na huyu dogo. Pamoja wataweza hata Sudani ilikuwa kama Uganda
Richard irakunda JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 3,660 Reaction score 4,384 Apr 22, 2019 #2 M7 sidhan kama atamaliza huu muhula anaoutaka kugombea tena aise maana dah
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,552 Reaction score 24,166 Apr 22, 2019 #3 Museveni ameshachokwa na 40 yake inachungulia.. Na huyu kichwa maji asijaribu kubadilisha Katiba.. Amuangalie Al Bashir alivyo hizi sasa.
Museveni ameshachokwa na 40 yake inachungulia.. Na huyu kichwa maji asijaribu kubadilisha Katiba.. Amuangalie Al Bashir alivyo hizi sasa.