Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Musonye anastahili kuitwa tapeli, huyu ndio aliyeiuwa Cecafa ambayo miaka ya nyuma wakati Katibu akiwa Mganda Cecafa ilibamba sana.
Musonye kwa kuonesha kwenye Cecafa alichokuwa anajali yeye ni pesa tu alifikia hatua Yale mashindano kuyafanya yawe yanafanyika Tanzania tu na ili apige mpunga mapema alijisahau mpaka akafikia kuzipanga Simba na Yanga kundi moja hapo ndipo Yanga ilipokataa kutumika kwa maslahi ya tumbo lake basi jamaa kwa jazba likaitisha press na kuitakana sana Yanga.
Leo nimemkumbuka huyu tapeli Musonye je yuko wapi? Na hii Cecafa bado ipo? Maana sasa hivi akili za Watanzania tumejikita CAF.