Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama huoni Utapeli wake na wewe ni tapeli tu.Hakuna kitu kibaya kama kumuita mtu tapeli bila kuweka uthibitisho wa utapeli wake.
Yanga walimuweza sana.Musonye anastahili kuitwa tapeli, huyu ndio aliyeiuwa Cecafa ambayo miaka ya nyuma wakati Katibu akiwa Mganda Cecafa ilibamba sana.
Musonye kwa kuonesha kwenye Cecafa alichokuwa anajali yeye ni pesa tu alifikia hatua Yale mashindano kuyafanya yawe yanafanyika Tanzania tu na ili apige mpunga mapema alijisahau mpaka akafikia kuzipanga Simba na Yanga kundi moja hapo ndipo Yanga ilipokataa kutumika kwa maslahi ya tumbo lake basi jamaa kwa jazba likaitisha press na kuitakana sana Yanga.
Leo nimemkumbuka huyu tapeli Musonye je yuko wapi? Na hii Cecafa bado ipo? Maana sasa hivi akili za Watanzania tumejikita CAF.
Alitukana matusi yote, uliona wapi timu za nchi moja kwenye makundi mpangwe kundi moja?Yanga walimuweza sana.
Ile interview ninayo mpk leo nimehifadhiYanga ni timu iliyosaidia Africa kujikombo,sasa unaitukanaje na ukabaki salama.
Mkuu musonye hakuna kitu, janja janja tuMusinye akili kubwa
Simba walijitoa cecafa kidiplomasia baada ya kuona wenzao yanga wamemshtukia Musonye. Lakini Yanga ndiyo waliomshikisha adabu ya kiutu uzima musonye na cecafa yake.Simba ndio walioliua Hilo bonanza baada ya kuanza kujiwekeza zaidi kwenye michuano ya Africa.
na wao wenyewe walichangia kwa mashindano kutokuwa na ratiba maalumu.