warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
There is a saying that , show me your friend , and I will tell you who you are , Msemo huu umekua ndivyo sivyo kwa hawa marafiki wa muda mrefu, namzugumzia mtangazaji na mjasiriamali Zamaradi mketema pamoja na faiza hali .
Ukiangalia personality trait ya zamaradi mketema na faiza ally , hawa watu wako tofauti kabisa , kuanzia maisha yao , jinsi wanavyotumia mitandao ya kijamii na kila kitu kwa ujumla, Mara nyingi tumekua tukiona zamaradi mketema akipost inspirational articles mbali mbali kuhusu maisha , na kwa kusoma caption zake tu , utagundua ni mtu wa namna gani , tofauti na shoga yake faiza ally ambapo mda mwingi amekua akipost matusi na kashfa mbali mbali kwa mzazi mwenzie ambaye pia ni mbunge, tukumbuke uko nyuma faiza alishawahi kutikisa na picha Tata alizopost akimuonyesha jinsi anavyojifungua , jambo lilizoua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii, pia Amekua akigombana na mastaa mbali mbali na kutukana bila kujali kitu chochote.
Nikiangalia tofauti za mastaa hawa wawili , najiuliza ni kitu gani kinachowaweka karibu? Ninachujua mimi unapokua na urafiki wa kushibana na mtu , mnakua mnashare mutual interest, Ila nikijaribu kuwaangalia wawili hawa nabaki tu nashangaa
Je zamaradi Ana urafiki wa kweli na faiza ambapo Mara nyingi Amekua akipost mambo ya fedheha kwenye mitandao ya kijamii na akionekana kukaa kimya? Au ndo kila mtu na maisha yake ? , je huu ni urafiki wa kweli unapomuona rafiki yako anakosea unanyamaza kimya?