Faiza wa kumsamehe na kumuombea tu zile ni stress ningekua naukaribu nae ninge mshauli aende kuonana na watu wa kitengo cha saikolojia, nadhali alitegemea makubwa kwa mheshimiwa lakini kwa sababu tusizo fahamu ghafla ndoto zikayeyuka imebaki story na mhesgimiwa anazidi kutajirika na huwezi jua kuna mchango wa jasho lake kidogo lazima aumie, ukirudi kwenye uhalisia wasichana wengi wa umri wake wame tulia na ndoa zao na bata kila sehem na wenzi wao, sio rahisi jamani hasa kwa mwanamke ambaye yupo above 35 kuzeeka pekeako kazi ngumu.