Hivi Zanzibar wana shirika la ndege?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Zanzibar wanategemea sana utalii. Inaingia akilini wakimiliki shirika la ndege. Wanalo? Wamewahi kuwa nalo?
 
Zanzibar wanategemea sana utalii. Inaingia akilini wakimiliki shirika la ndege. Wanalo? Wamewahi kuwa nalo?
Kwani si ni part ya Tanzania na hiki ndicho raisi anajaribu kufuta. Tunajiuta nchi moja lakini utendaji wetu ni wa nchi mbili mpaka tunacompete
 
Hawana shirika la ndege ila wanayo - Royal Air Force tangu miaka ya sitini.
 
Kwani si ni part ya Tanzania na hiki ndicho raisi anajaribu kufuta. Tunajiuta nchi moja lakini utendaji wetu ni wa nchi mbili mpaka tunacompete
Nchi moja kwenye makaratasi. Mbona watu wa bara hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Tena moja ya vipengele vya kijinga vya muungano ni hiki.
 
Hali Ikoje Huko
Tunajua Shirika Ni ATCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…