LGE2024 Hivi Zanzibari nako kuna Uchaguzi Serikali za Mitaa? Kweli CUF haina mgombea hata mmoja mwaka 2024?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Hatuna nchi inayoitwa Tanganyika...halafu jiupdate,huu ni mwaka 2024 siyo 2023
 
Mimi nimtanganyika zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila Nina uliza

Uko Nako mpk kizimkazi Kuna uchaguzi wa serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi?

NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CAFu hawana mgombea hata Mmoja?
Huu ni mwaka 2024-640.Halafu,Kizimkazi ipo Msumbiji eneo la Cabo Delgado na siyo huko unapofahamu.
 
Mimi nimtanganyika zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila Nina uliza

Uko Nako mpk kizimkazi Kuna uchaguzi wa serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi?

NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CAFu hawana mgombea hata Mmoja?
Uçhaguzi upo ila huku kauli mbiu na mabango kila pahala ni kwamba " Hatuna mbàdala"!
CCM hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom