sifi leo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,182 Reaction score 8,948 Nov 25, 2024 #1 Mimi nimtanganyika Zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila ninauliza Huko Nako mpaka Kizimkazi Kuna uchaguzi wa Serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? Kupata taarifa zote za kimkoa kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CUF hawana mgombea hata Mmoja?
Mimi nimtanganyika Zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila ninauliza Huko Nako mpaka Kizimkazi Kuna uchaguzi wa Serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? Kupata taarifa zote za kimkoa kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CUF hawana mgombea hata Mmoja?
Mamsosa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2024 Posts 1,047 Reaction score 2,246 Nov 25, 2024 #2 Hatuna nchi inayoitwa Tanganyika...halafu jiupdate,huu ni mwaka 2024 siyo 2023
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Nov 25, 2024 #3 sifi leo said: Mimi nimtanganyika zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila Nina uliza Uko Nako mpk kizimkazi Kuna uchaguzi wa serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CAFu hawana mgombea hata Mmoja? Click to expand... Huu ni mwaka 2024-640.Halafu,Kizimkazi ipo Msumbiji eneo la Cabo Delgado na siyo huko unapofahamu.
sifi leo said: Mimi nimtanganyika zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila Nina uliza Uko Nako mpk kizimkazi Kuna uchaguzi wa serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CAFu hawana mgombea hata Mmoja? Click to expand... Huu ni mwaka 2024-640.Halafu,Kizimkazi ipo Msumbiji eneo la Cabo Delgado na siyo huko unapofahamu.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Nov 25, 2024 #4 sifi leo said: Mimi nimtanganyika zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila Nina uliza Uko Nako mpk kizimkazi Kuna uchaguzi wa serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CAFu hawana mgombea hata Mmoja? Click to expand... Uçhaguzi upo ila huku kauli mbiu na mabango kila pahala ni kwamba " Hatuna mbàdala"! CCM hovyo kabisa.
sifi leo said: Mimi nimtanganyika zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila Nina uliza Uko Nako mpk kizimkazi Kuna uchaguzi wa serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? NAULIZA Tena je Lipumba na chama CHAKE Cha CAFu hawana mgombea hata Mmoja? Click to expand... Uçhaguzi upo ila huku kauli mbiu na mabango kila pahala ni kwamba " Hatuna mbàdala"! CCM hovyo kabisa.