Hivi Zari kaishia wapi?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu kujeni hapa tujuzane hivi yule shemeji yetu ZARI kaishia wapi?

Maana zilipigwa swaga kibao hapa mara harusi mara ana ujauzito mara hoooo, mara heee sijui Mlimani City mara pete ya uchumba na Mond.Ghafla ikawa kimyaaaaaaaaa.

Au karudi kwa katunzi?
 
wabongo bwana...vitu vingine ni kupotezea tu maisha ya watu hayo hayakuhusu
 

Hahahaaaaa kama nawaona vile hilo neno lilivyowachoma!
 

Follow her on Instagram aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…