Hivi Zari kaishia wapi?


Next week Ana jifungua mtoto upo
 
kwani wewe ni daktari au mtabiri?

Kwan we ujui mie n nani me n yule kijana ambaye wazazi wko walikuonya kuhusu mie unankumbuka 😎 na swali kwanza iyo K inasimama kwa neno gani
 

Yupo 'white house' kwa mond, yeye alibaki home na alimpokea alipitoka south, just wanasherekea ushindi wa tuzo ya Mtv huku akisubiria muda wa kujifungua.
THATS ALL!!
 
Daah ila bora zari anapost hata pic 1 kwa cku ila huyo mama michirz zepetunga ndo kaua cku 3 mpaka 4 bila post yoyote daah maisha haya kama gwalide tu.
 
Daah ila bora zari anapost hata pic 1 kwa cku ila huyo mama michirz zepetunga ndo kaua cku 3 mpaka 4 bila post yoyote daah maisha haya kama gwalide tu.
Mkuu hari ya Wema kiuchumi sio nzuri kbs kayumba sn yule mdada.juzi nilimuona mahari aiisee ile MICHIRIZII inaozungumzwa nilijua ni utani yani imemfumka kweli kweli halafu washauri wake wangemshauri avae nguo za kufunika mwili wote.Ila Mama michirizi umri na uzuri vinamtupa mkono yani ndo kunakuchwa tena hawezi kula vichwa km zamani
 
Mambo ya carolight hayo.....
nmeona somewhere eti almanusra akamatwe huko singida akitoa rushwa ya thermosi na hotpot ha ha ha
 
Mambo ya carolight hayo.....
nmeona somewhere eti almanusra akamatwe huko singida akitoa rushwa ya thermosi na hotpot ha ha ha

Ameamua kuwapelekea wazee na hao watakaompitisha watakuwa wa hovyo kbs ila bora awapelekee wazee maana huku mtaani biashara kushneii ishakuwa Rambo
 
Kweli? Nasikia toka aunt ajifungue kamtengenezea bifu!

Mimi huyu dada nilimzarau hajitambui naweza kusema jina lake tu ilikuwa ni mtaji kabisa yani Wema ilikuwa angekuwa anajitambua angekuwa milionea umaarufu aliokuwa nao angeutumia kutengeneza pesa sasa kautumia vibaya na hivi ndo anaenda kuchuja hana soko tena.na ndio ametengeneza makundi huko Insta yani imekuwa km vita na wote wanamharibia
 
Kama zarinah vile yani kwenda kumuona huku umevaa white kiingilio milioni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…