Hivi ziara za Bob Wine nje ya nchi ya Uganda zilileta matokeo gani kwao Uganda?

Hivi ziara za Bob Wine nje ya nchi ya Uganda zilileta matokeo gani kwao Uganda?

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Ziara za Lisu hazina tofauti na Ziara za Bob Wine Nje ya Nchi zao

Nilitaka watanzania na Lisu wajifunze kwa Bob Wine ..tusije weka matumaini yasiyokuwepo

Muulize Maalim Seif
 
Ziara za Lisu hazina tofauti na Ziara za Bob Wine Nje ya Nchi zao

Nilitaka watanzania na Lisu wajifunze kwa Bob Wine ..tusije weka matumaini yasiyokuwepo

Muulize Maalim Seif
Moderator peleka hii jukwaa la kimataifa , sababu maudhui yake yanafanana na jukwaa hilo
 
Hahaha huu uongo, yule alipelekwa marekani kutibiwa na akarudi. Hakuwa na ziara, hivi nyie mtu akisafiri personal kwa shughuli zake inaitwa ziara?!
Kwani ziara za Lisu ni za ofisi??
 
MTU mpumbavu atakeyemfananisha Lissu na Bob wine
 
Ziara za Lisu hazina tofauti na Ziara za Bob Wine Nje ya Nchi zao

Nilitaka watanzania na Lisu wajifunze kwa Bob Wine ..tusije weka matumaini yasiyokuwepo

Muulize Maalim Seif
Bob wine hakufanya ziara ndugu yangu, alienda kutibiwa na kurudi. Lakini kwakuwa haujui, ndio maana unaongea kwa kujifurahisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bob wine hakufanya ziara ndugu yangu, alienda kutibiwa na kurudi. Lakini kwakuwa haujui, ndio maana unaongea kwa kujifurahisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Achana naye huyu mleta mada ni mdada wa makamo pale lumumba anajaribu kutetea kibarua chake! Bila kuandika thread huku atakufa njaa
 
Achana naye huyu mleta mada ni mdada wa makamo pale lumumba anajaribu kutetea kibarua chake! Bila kuandika thread huku atakufa njaa
Sie tu nasubiri mrejesho
 
Lissu nae kaanza Ziara Za kustukiza Kwenye Idhaa Za Mabeberu ili apate Kiki ya kuvuruga Amani Na Usalama wa Taifa
 
Alikua anafanyiwa interview kama Lisu tu..na hatuoni muendelezo
Alifanyiwa interview gani? Wakati alikuwa kwenye kampeni, na mambo ya siasa au harakati ameanza hata miaka mitatu hana. Na usimfananishe Bob wine na Lissu ni watu wawili tofauti kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom