hivi zile ajira 2000 za may 28 ndo tumepigwa changa?

hivi zile ajira 2000 za may 28 ndo tumepigwa changa?

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
2,764
Reaction score
2,559
mi sielewi utaratibu wa tume ya ajira kwenye kuita usahili

1)wanaita kulikana na tarehe ya tangazo yaani FIFO?
2)wanaita kulingana na na kipaumbele cha kazi yenyewe?
3)wanaita kulingana na uhitaji na uharaka wa kazi yenyewe?

nimeuliza ivo coz tangazo la may 28 mpaka sasa sijaliona wakiita usahili wala kulisikia kutoka kwa mtu yeyote,ikiwa kuna matangazo yalikuja mbele na wa2 wameshaitwa


naombeni majibu na mawazo wadau.
 
subili subili nawe ......mpaka naona zzzzzzzzzzzzzzzz
 
Back
Top Bottom