mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 743
- 1,071
Hatari sana.Zilkua taarabu tu et
Kwa haraka, kwa dhalura na kwa mbwembwe Kama zilivyotangazwa. Unadhani kwa nini hazijatoka mpaka Sasa?Kwa mawazo yako mfilisi, ulitaka ziwe zimetolewa baada ya muda gani?
Unatakwimu za watu walioomba hadi sasa? Unajuaje kama wanachambua? Unadhani hapa wanatumia utaratibu au kanuni ya FIFO (first in first out). Wakati wa kutangaza hukuwashauri, sasa subiri wakati ukifika watatangaza.Kwa haraka , kwa dhalura na kwa mbwembwe Kama zilivyotangazwa. Unadhani kwa nini hazijatoka mpaka Sasa?
Mbona umepanic pimbi? Kwa kupanic huku unadhani kuna ajira hapo? FIFOOOOOUnatakwimu za watu walioomba hadi sasa? Unajuaje kama wanachambua? Unadhani hapa wanatumia utaratibu au kanuni ya FIFO (first in first out). Wakati wa kutangaza hukuwashauri, sasa subiri wakati ukifika watatangaza.