Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Jaman kuna miujiza hii dunia haisemeki mnakumbukaga jaman zile jezi feki wakatuambia za mabil na ma tv yakaonyeshwa
Akatoke mh mmoja sijui kama yuko madarakan akasema hizi jezi tra wazizuie zisitolewe
2.watu tukaulizana kama docs zimeonesha muhusika kalipa TRA hajulikan mns zile pesa zililipwa na jina la nani
3.Swali mpaka leo hii kuna mtu anajua zile jezi zimepelekwa wapi je zimesharuhussiwa kuingia mtaani
4. aliezirusu nani na je mbona amjatuambia jamani mbele ya ma tv. Na kama ndio nani karuhusu
Napita tu
Soma Pia: Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa