Hivi zile point tatu za FIFA simba bado wanazisubiri mpaka leo

Nuran Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
273
Reaction score
234
Ikumbukwe wakati wanatawazwa mabingwa wapya wa vodacom premier league watani wa yanga a.k.a wahapahapa fc untill further notes walisisa kuvaa medani za mshindi wa pili..walihisi kuwa wao ndio washindi..sasa zile point za 3 walizoenda kudai FIFA zimeishia wapi..??? naombeni namba ya Hadji MNARA nimpigie...maana amekuwa kimya kama mkulima wa bange anasubiri wateja..............VIVA YOUNG AFRICANS

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Wanasubiri mzigo wa DHL.
 
Bado anashangilia kufunguliwa na yuko bize na Simba Day kwa sasa! Jana nilimsikia anasema.... wameonewa sana na wao wameonea sasa... Point tatu si hoja tena kwake
 
Ukiangalia vizuri swala la point tatu za bule lilishikiwa bango sana na Kabulu mzee wa madili na propaganda wa Simba. sidhani kama kweli kuna hicho kitu. tunasubili kama makinikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa shabiki wa Simba ningekuwa sina furaha, si kwa madongo haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ukose raha kutokana na kelele za vyura



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile pwenti za mezani zitafika kabla ya mechi ya Ngao ya hisani ya Jamii.

FIFA watahakikisha hilo linafanyika bila ajizi. Msimu huu mpango ni kupata pwenti nyingi zaidi za mezani kwa kuwatumia Karia, Wambura na Kamati ya saa 72 . Viva Simba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…