Hivi zile sinema za matamko ya uwizi wa tone tone yameishia wapi?

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
-hii inchi inavituko sana na concentration ipo kwenye mambo yasiyo na tija kwa inchi.

- makelele ya watu probably walioandaliwa toka huku na kule ati hevhe amekula michango ya tone tone yametoweka ghafla..
-Hii ni indicator kwamba; either ochestra wa haya yote anaupeo mdogo sana au CDM imeimarka sana, makelele yameisha bila impact yoyote kwa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…