kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kama mnakumbuka mwaka jana mida kama hii kulikuwa na kimuhe muhe cha tuzo za eatv, lakin kwa mwaka huu mpk mida hii sijasikia fununu zozote kuhusu hizi tuzo, au mwaka huu hazipo.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dullah analeta ushikaji hadi kwny kazi....ndani ya mwaka mmojabtu zimekosa mvuto.hahahaha ameziharibu Dullah
Itakuwa eeeh?zipo ila muda bado
Tunzo zinafanyika na mshindi kashajulikanaWCB kutoshiriki kwenye hizi Tuzo,kumewaharibia soko...kwa hiyo wameona bora watemane nazo tu kuliko kutrade on loss!
Kwa sasa hivi hapa tz, matukio ya namna hii kama WCB wakikosekana/hawashiriki huwa mvuto unapungua au unakosekana kabisa ktk tukio husika.