Hivi Zitto Kabwe ni Communist?

Hivi Zitto Kabwe ni Communist?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Je, Zitto Kabwe ni mmoja wao? Nimeona anavaa kama communist Mao, anahubiri anarchy kama communist wa South America, alikutana na Corbyn wa Uingereza ambaye ni certified communist.

Je, huyu jamaa ni kweli communist au ni communist wanna be, communist ni watu hatari sana, Communist Mao Zedong aliua Wachina milioni 40, Communist Khmer Rouge wa Kambodia waliua 2-3 milion au 25% ya Wananchi wa Cambodia.

Communist ni watu hatari sana.

Say no to communism, vinginevyo watauua nusu ya Tanzania, ...

1575406688107.jpeg

Communist anarchy.

1575407231311.jpeg
 
Mkuu anarchists na communists ni watu wenye idea tofauti kabisa. Uzuri wa Zitto hajifanyi, kasema wazi ni msocial democrat. Wanasiasa wengi bongo hawajui hata wanafuata siasa gani.
 
Jibu utalipata ukitazama wakati alipokuwa mwenyekiti wa PAC bungeni. Watu walipelekwa mbio kupita hata wakati Joseph Stalin. Chadema wenyewe hawana hamu alivyo wahenyesha.
 
Barbarosa, Mkuu Barbarosa,
Yes Zitto ni communist, bali sio communist kama
Mao Zedong wa China au Communist Khmer Rouge wa Cambodia, Zitto ni communist kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Msikilize hapa
P
 
Mkuu anarchists na communists ni watu wenye idea tofauti kabisa. Uzuri wa Zitto hajifanyi, kasema wazi ni msocial democrat. Wanasiasa wengi bongo hawajui hata wanafuata siasa gani.
Social Democrat hawana cheo Cha miuu wa Chama asiyepigiwa kura.Zitto Kabwe kwenye katiba kajibandika cheo Cha mkuu wa Chama wa milele asiyepigiwa kura na Ana nguvu kuliko.mwenyekiti wa Chama

Mwenyekiti wa ACT wazalendo ninkama mdoli tu upo upo tu ndio maana Anna Mgwira aliondoka zake .Mtu unapewa licheo la mwenyekiti halina kichwa Wala miguu

Katiba ya ACT Wazalendo Haina sura ya social Democrat imekaa kimwandiga mwandiga kigoma tu
 
Mkuu anarchists na communists ni watu wenye idea tofauti kabisa. Uzuri wa Zitto hajifanyi, kasema wazi ni msocial democrat. Wanasiasa wengi bongo hawajui hata wanafuata siasa gani.
Ni m socialist na hao kina Corbyn na wengineo kama Bernie Sanders,AOC ni wa socialist
 
Huyo Ni mchumia Tumbo

Magufuli ameziba ulaji wake hana Amani kabisa
 
Zito ni mwanasiasa mwenye akili nyingi tuuuuu
Je, Zitto Kabwe ni mmoja wao? Nimeona anavaa kama communist Mao, anahubiri anarchy kama communist wa South America, alikutana na Corbyn wa Uingereza ambaye ni certified communist.

Je, huyu jamaa ni kweli communist au ni communist wanna be, communist ni watu hatari sana, Communist Mao Zedong aliua Wachina milioni 40, Communist Khmer Rouge wa Kambodia waliua 2-3 milion au 25% ya Wananchi wa Cambodia.

Communist ni watu hatari sana.

Say no to communism, vinginevyo watauua nusu ya Tanzania, ...

View attachment 1281042

Communist anarchy.

View attachment 1281050
 
Where is Ben Saanane?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom