Social Democrat hawana cheo Cha miuu wa Chama asiyepigiwa kura.Zitto Kabwe kwenye katiba kajibandika cheo Cha mkuu wa Chama wa milele asiyepigiwa kura na Ana nguvu kuliko.mwenyekiti wa ChamaMkuu anarchists na communists ni watu wenye idea tofauti kabisa. Uzuri wa Zitto hajifanyi, kasema wazi ni msocial democrat. Wanasiasa wengi bongo hawajui hata wanafuata siasa gani.
Mnakuja na matusi na udhalilishaji wa jinsia kisa mtu kaandika mawazo yake!!.Mkuu hilo ni danga naona limekosa mawindo ndiyo litoa stress zake humu.
Ni m socialist na hao kina Corbyn na wengineo kama Bernie Sanders,AOC ni wa socialistMkuu anarchists na communists ni watu wenye idea tofauti kabisa. Uzuri wa Zitto hajifanyi, kasema wazi ni msocial democrat. Wanasiasa wengi bongo hawajui hata wanafuata siasa gani.
Je, Zitto Kabwe ni mmoja wao? Nimeona anavaa kama communist Mao, anahubiri anarchy kama communist wa South America, alikutana na Corbyn wa Uingereza ambaye ni certified communist.
Je, huyu jamaa ni kweli communist au ni communist wanna be, communist ni watu hatari sana, Communist Mao Zedong aliua Wachina milioni 40, Communist Khmer Rouge wa Kambodia waliua 2-3 milion au 25% ya Wananchi wa Cambodia.
Communist ni watu hatari sana.
Say no to communism, vinginevyo watauua nusu ya Tanzania, ...
View attachment 1281042
Communist anarchy.
View attachment 1281050
Where is Ben Saanane?Je, Zitto Kabwe ni mmoja wao? Nimeona anavaa kama communist Mao, anahubiri anarchy kama communist wa South America, alikutana na Corbyn wa Uingereza ambaye ni certified communist.
Je, huyu jamaa ni kweli communist au ni communist wanna be, communist ni watu hatari sana, Communist Mao Zedong aliua Wachina milioni 40, Communist Khmer Rouge wa Kambodia waliua 2-3 milion au 25% ya Wananchi wa Cambodia.
Communist ni watu hatari sana.
Say no to communism, vinginevyo watauua nusu ya Tanzania, ...
View attachment 1281042
Communist anarchy.
View attachment 1281050