Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu, CCM na Katiba ya Warioba ni kama mbwa na chatu, wanaiogopa katiba mpya kama ukoma. Mbwa, pamoja na ujanja na mbio zake zote, mbele ya chatu hafurukuti. Kwanza, huyo Magufuli mwenyewe, hiyo Katiba ya Warioba itamwacha salama?CCM wakimkabidhi ukubwa Magu atatuletea katiba ya warioba