mbona ukweli unauwauma jaman????? wangapi ni walimu kwa kupenda taaluma hiyo??? au mmekua walimu kwa kuwa ndiko mokopo ya masomo ya juu inapatikana kiurahisi??? hoja yangu mjirekebishe ili mthaminiwe na jamii ya wasomi wengine!i
1. Badili hiyo title ya post yako, haiendani na unachoongea.
2. Unapozungumzia neno "mwalimu" haieleweki unazungumzia mwalimu gani kwani; anaefundisha vyuo vya veta
nae anaitwa mwalimu, anaefundisha uganga wa kienyeji nae ni mwalimu, anaefundisha mamiss kutembea pia jina ni
hilohilo, anaefundisha askari pale ccp nae ni vivyo hivyo, anaefundisha shule ya awali, msingi, sekondari, A-level,
vyuo mbalimbali na hata vyuo vikuu wanawaita maprof. ma doctors lakini ki msingi bado wataitwa walimu tu.
3. Usidhani ni walimu wote kwa maana yoyote ile iwayo wanasoma kwa mikopo, Mwalimu wa diploma ya elimu
anakopeshwa na nani? Mwalimu wa daraja IIIA uliona akikopeshwa?
4. Usipoteze muda wako wala wa watu wengine kujadili mambo yasiokuwa na maana, kama hujui jambo uliza
utajibiwa na kama hujafanya utafiti usilete pumba hapa, hata kama title yako ingekuwa kwamba walimu wote ni
vichwa maji, je wewe ambaye leo mwalimu amekutoa tongotongo si ungekuwa kichwa ma...i? ( uchafu utokao
katika mwili wa mnyama kupitia njia ya haja kubwa)
4