Hivii inakuaje selection zimetola kwingine kabla ya tcu?p?

Kipapuro

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
32
Reaction score
14
tunajifunza nini,mtazamo gani juu ya tcu tunauweka,hawa walioupload wapepata wapi nyaraka hizi za umma,wadau wa elimu twajenga twabomoa? Na nyinyi waselectiwa mnashangilia 2
 
tunajifunza nini,mtazamo gani juu ya tcu tunauweka,hawa walioupload wapepata wapi nyaraka hizi za umma,wadau wa elimu twajenga twabomoa? Na nyinyi waselectiwa mnashangilia 2

kwani selection ni mtihani ambao hautakiwi kuvuja au ni siri ambayo haitakiwi kujulikana halafu hata kama ni lawama si za tcu nahisi ni chuo husika!!
kwa upande wangu binafsi sioni kitu kibaya na je HKMU ambao wamewatumia successful applicants wao emails unawazungumziaje????
 





Mimi cwaelewi hawa jamaa,mimi nimepata udsm laikini cjapenda hii hali ya kuvuja kwa matokeo,hii ndio serikali ya udhaifu na liwalo na liwe juu ya magambaaaaaaaaaaa.
 
tunajifunza nini,mtazamo gani juu ya tcu tunauweka,hawa walioupload wapepata wapi nyaraka hizi za umma,wadau wa elimu twajenga twabomoa? Na nyinyi waselectiwa mnashangilia 2

Hii ndo bongo bana..
 
Ndugu kwa kawaida tcu wanafanya kazi pamoja na bodi ya mikopo,inawezekana mchakato wa mikopo haujakamilika ndio maana bado kimya. Kwa vyuo kupewa matokeo mapema kabla ya tcu kumbukumbu zangu zinaonyesha hata last year walifanya hivyo,isipokuwa hayo majina huwa hayana mean test ya mkopo, so tuvute subira tcu wakitoa na bodi wanatoa pia
 
wadau tunatakiwa tujivunie hilo sabab teknolojia imekua..yan hadi wabongo tunafanya hacking
 
nijuavyo mimi selection zinafanyika TCU through Central Admission System lakini ni process ambayo inahusisha vyuo katika hatua mbali mbali ambapo kila chuo hutumiwa soft copy ya list ya successful applicants from Central Admission System,vyuo hufanyia kazia hiyo list na hatimaye senate au mabalaza ya taaluma ambayo ndio yenye mamlaka ya kudahili wanafunzi katika chuo husika hufanya "APPROVAL" ya udahili pamoja na comments zozote zitakazo jitokeza na hiyo list hurudishwa TCU ambapo hufanya kikao cha JOINT ADMISSION COMMITTE yenye kuwahusisha wawakilishi wa kutoka vyuoni na kazi kubwa ni kufanyia kazi list zote zilizorudishwa kutoka vyuoni na baada ya kazi hiyo TCU hutangaza majina ya waliochaguliwa,sasa hiyo list ya sucessful applicants inaweza kuvuja inapotoka TCU kwenda vyuoni au pale kwenye chuo husika ambapo watu kadhaa wanahusika katika kuifanyia kazi na ukizingatia huwa ktk soft copy!au popote pale kwa kuwa mchakato mzima unahusisha mikono ya watu wengi na hiyo list iliyoonekana nadhani haina uhakika km ndio final(ambayo imepitIshwa na senate ya vyuo husika pamoja na JOINT ADMISSION COMMITEE ya TCU).

Hapa jamvini kuna wanachama ambao wanqshiriki mchakato huu wa admission ktk vyuo na TCU so kuvuja sio jambo la kushangaza sana hapa jamvini,mambo mangapi yamevuja hapa jamvini?au kuna ubaya gani kuleta taarifa za jikoni?j
 
kwa hiyo mkuu list ya walio chaguliwa udsm yaweza kuwa rasmi au batili labda ipo ktk processing?
 
Mnakumbuka wilileaks ya Assange na us diplomatic cables. Ndo sembuse dudez na matokeo ya Tcu. It's great achievement to us and miserable defect to authorities. Wajifunze isitokee tena.
 
Kwani kuna tatizo gan kudodoswa knachoendlea udsm? Me naona n sawa kilchofanyka nampa big-up mvujshaj.na tcu nao watachangamka.
 
cjaona ubaya wa kuvujisia hyo list japo haijajulikani hyo list imevuja ktk hatua gani!Tusiwalaumu sana TCU kwan selection ni process inayohusisha vyuo na TCU na nadhani wamejiwekea timeframe au deadline za matukio ya hatua za mchakato wa selection so MOYN WA SUBIRA ni muhimu katika kupata taarifa rasmi ya admission kutoka TCU
 
tunajifunza nini,mtazamo gani juu ya tcu tunauweka,hawa walioupload wapepata wapi nyaraka hizi za umma,wadau wa elimu twajenga twabomoa? Na nyinyi waselectiwa mnashangilia 2

Owky let me agree with u in one thing..Yes its not proffesinal kuyavujisha before the entrusted agency doing so..n im sure tcu they are very furious with these..

But give us a break men,coz u cant be serious blaming thos who hav been selected to be happy..!!!
I mean, c'me on men if u hav passed in this stage then u must knw hw it feels waitin for the results..
So blaming thos hu av bin selectd to b happy its not fair at all..Over
 
tunajifunza nini,mtazamo gani juu ya tcu tunauweka,hawa walioupload wapepata wapi nyaraka hizi za umma,wadau wa elimu twajenga twabomoa? Na nyinyi waselectiwa mnashangilia 2

nani mjinga sasa hapo TCU au wachaguliwa wanaofurahia selection?????:flypig::flypig:..........................ILA NIMEAMINI CONFIDENTIALITY TANZANIA IMEKUWA ZERO NA INAENDA NEGATIVE
 
o6owkey lets shake hands and say,its great achivements to get unrelesed
selection,its technolologica and ideological advancement to our IT'S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…