Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ebu kimbia urudi hukoHuyu kijana idris Sultan amekuwa akisifika kukejeli mastaa kibao hapa bongo huko Instagram, Sasa najiuliza hivi siku huyu idris akiingia 18 za Mujuni almaarufu mpoki kweli atatoka salama Huyu Dogo?
Ikumbukwe pia nae mpoki anasifika kwa kukejeli na kuaibisha mastaa wenzake...
Zao la InstagramMleta madaa .. Huwa unatumia gongo ? Ao?
Vijana wa 21st centuryZao la Instagram
[emoji347][emoji347][emoji347][emoji347][emoji347]Vijana wa 21st century
Binamu ya kweli hayo?Idris c mumewe billnas
mmh...warumi..Idris c mumewe billnas