Hivu kuitwa mpumbavu ni tusi ama ni matokeo ya kupoteza umakini?

Hivu kuitwa mpumbavu ni tusi ama ni matokeo ya kupoteza umakini?

mwakweya70

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
414
Reaction score
106
‘Mtu mwenye akili akikuambia neno la kipumbavu -ukalikubali anakudharau!’ Mwalimu Nyerere 01/5/1995.
Kutokana na nukuu hiyo ndugu zangu watanzania,lazima kila siku kile kinachoingia masikioni mwetu tujiulize,je ni kile ambacho mwisho wa siku,kitaishia kututukanisha na kuitwa wapumbavu,naona tunayoambiwa na wengine kutumwa tukaseme ama kuwaambia wengine iko siku yatabainisha kuwa tunaangukia kundi gani,maana mengine ukiyachunguza yanakotupeleka iko siku wakati utatucheka,hasa baada ya kuathiri ustawi wa Taifa hili na kuanza kuimba nyimbo zilizowahi imbwa na waliofika huko.TAFAKARI
 
Back
Top Bottom