Hivyo ndivyo vijana wa kazi wa Kitanzania wanavyoturudisha nyuma na kututia hasara kubwa

Mkuu pole kwa masahibu. Enhee ikawaje ? Umeendelea na kilimo cha minazi? Na Je umefikia wapi? Niko interested na kilimo hiki natamani kupata ABC zake
 
Pole sana mkuu,mimi nilipigwa na kijana kwenye uwakala wa miamala ya simu.Uzi wangu upon humu,dogo amenirudisha nyuma.Nilimkamata saa hizi amefungwa miezi sita na akitoka anatakiwa alipe.Nilimkuta na 260k na simu mpya pamoja na simu alizoiba.Hawa vijana ni wapuuzi sana.
 
Shida ni kwamba wao hujiona wamekomoa na wanajiona ni mabingwa bila kujari maisha yao yatakuwaje kama wataharibu hapo. muathirika mkubwalazima awe yeye
Mimi Yule dogo alibeba cash,akabeba simu na line ,akatoa pesa zote.Nilicheka sna nilipokuta 18500 alinunua muda wa maongezi na akaishia kununua simu ya laki nne.
 
Huyo jamaa umempata? Msake hata kiutamaduni utampata.
 
kilimo chochote ili ufanikiwe lazma uwepo wakati wa kupanda,wakati wakupalilia,wakati wakuvuna na wakati wakuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…