Hivyo viwanda 4000 vilivyojengwa awamu ya 5 mbona sivijui, nafahamu kiwanda cha Dangote tu cha awamu ya 4

Kweli mkuu cherehani haiwezi kutoa moshi na sebuleni inatosha vizuri tu haiitaji hata nusu heka
 
Haya ndo ya kujadili.. Tusiseme hamna viwanda.
 
Wewe ndo unayetaka kuongea ujinga.viwanda 4000 unavifahamu wewe au unafikiri 4000 ni 400.
 
siku moja jitahidi funga safari toka mbagala had kibiti tu halafu uje nihesabia idadi ya viwanda utakavyopishana navyo
 
Magufuli alikuwa ni populist aliejificha kwenye chaka la siasa za propaganda ili aonekane kuwa ni mchapa kazi kumbe ni fisadi mkubwa,mwizi wa kutupwa na mzembe wa kulinda rasilimali za uma.Asante CAG kwa kuibua uhalisia wa Magufuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…