Hiyo ndiyo JKU utaipenda tu hata kumoyo...

Hiyo ndiyo JKU utaipenda tu hata kumoyo...

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
15,441
Reaction score
5,816
Baada ya kupangwa kundi dhaifu na kuanza tambo za kuitaka Simba SC jana usiku wamepewa mdogo wake Simba SC wakiwa na jezi kama za Mnyama wamechezea.
Kimoja tu kimewachanganya wamekaa jangwani hata kuinuka hawawezi.
 
Mods kwa furaha nimesahau kuiweka hii sehemu sahihi, msaada plz
 
Mkuu mpaka umepotea jukwaa.
Lakini msubiri mvuke mto ndio muwacheke mamba mkuu!
 
... Post imeingia Choo cha Kiume! Somebody rekebisha, please.
 
ጸፈጠጰነቸአከጰጠረኘዠ
 
kwa mabonanza tu nawapaga saluti...ligi inakuja

Kama ni mabonanza mkifungwa mbona mnatimua benchi nzima la ufundi. Tena bora hata mwaka huu mliletewa mafundi viatu toka Rio de Janeiro, mwaka jana timu ilikuwa inaongoza ligi lakini baada ya kupigwa vitatu tu benchi nzima likaondoka.
Halafu yule mhindi kashtuka hapeleki timu Uturuki tena, maana ikipelekwa Simba akija anapiga tatu, hasara na hasira inabaki kwake, at least mwaka huu haikwenda imepigwa Viwili tu.
 
Logaloga mlimtimua katika mechi gani? Polite reminder: Katika bonanza la Simba day, Simba ilifungwa na ZESCO ya Zambia.
 
Logaloga mlimtimua katika mechi gani? Polite reminder: Katika bonanza la Simba day, Simba ilifungwa na ZESCO ya Zambia.

Unakumbuka Simba ilikuwa inashika nafasi ya ngapi katka ligi?
Bila shaka yoyote ni Simba pekee ambayo inaweza kumvumilia kocha hata aboronge nusu msimu lakini sio Yanga inayopelekeshwa na mtu mmoja kisa vishilingi vyake.

Loga amemaliza ligi aliwa nafasi ya nne tena na yenyewe tia maji tia maji, ugomvi na wachezaji kila siku wenyewe mlikuwa mnaona uwanjani. Kosa moja mchezaji anatolewa nje, kilichomuondoa Loga sio Zesco ni mkusanyiko wa vitu vingi.

Nikuulize tu mtangulizi wa Maximo mlimfukuza kwa kosa gani na wakati timu ilikuwa inaongoza ligi kama sio Mtani Jembe 01?
 
Sitaki kubishana na wewe. Nataka nikukumbushe kuwa mwenendo wa timu kwenye ligi mlishauvumilia. Mkamsainisha mkataba mpya wa mwaka mmoja, mkaingia kwenye bonanza lenu ndani ya wiki 2 tangu mkataba usainiwe mkafungwa, ukawa mwisho wa Logaloga.
 
Tofauti kubwa ni kwamba Simba inafungwa na timu zingine inapotimua kocha lakini Yanga anapakatwa na Simba na kufukuza uongozi mzima sio makocha tu.Case in reference 5 bila.
 
na simba je kwanini haifiki mballi kwenye ligi kuu?

Kwani ligi imekwisha? Tofautisha ligi na mashindano ya mtoano.
Yanga ameanza kwa ushindi mfululizo juzi kadonolewa katoka wakati Simba alianza kwa kufungwa lakini sasa gari imekata breki tunafumua kila kimeo kilicho mbele yetu mpaka kikombe.
 
hii nimeipenda, na ndiyo maana Yanga huwa haifiki mbali Kimataifa.........nadhani mmenielewa

Unajua Yanga inatesa Afrika Mashariki kwa sababu ukitoa Simba inayomfunga kila mara, hakuna timu inayovaa jezi zenye rangi ya Simba SC.
Tofauti na Mashindano ya CAF timu nyingi hasa za kiarabu zinavaa jezi kama za Mnyama na hapo ndipo huwa kaburi la Yanga.
 
Sitaki kubishana na wewe. Nataka nikukumbushe kuwa mwenendo wa timu kwenye ligi mlishauvumilia. Mkamsainisha mkataba mpya wa mwaka mmoja, mkaingia kwenye bonanza lenu ndani ya wiki 2 tangu mkataba usainiwe mkafungwa, ukawa mwisho wa Logaloga.

Uliomsainisha Loga ulikuwa ni Uongozi wa Aden Rage kwa ubishi wake alishauriwa akakataa, mapinduzi yalipofanyika TFF ya Yanga ikamlinda ili muiue Simba.
Aveva amepewa kiti kwa kuwa moja kati ya sera yake ilikuwa ni kuijenga timu upya. Sasa nini cha ajabu kama Aveva amemtimua pandikizi la Rage?

Tofauti na muhindi wenu anachukua kwa mbwembwe migarasa ya makocha na wachezaji na anatimua mwenyewe kukwepa aibu.
 
images (2).jpg
 
Back
Top Bottom