Hiyo Picha ya Katuni hapo chini inakufundisha kitu gani?

Wakati yeye anawaza kupata viatu akagundua kuna watu hata hiyo miguu yenyewe ya kuvalia hivyo viatu hawana hivyo akaona kumbe hata hivyo alivyo ni sawa tu
 
FA Sinun'guniki Sina viatu wenzangu hawana miguu
Namshukuru alo juu
 
shukuru kwa kidog ulichonacho, maana wengine hawana hata hicho ulichonacho wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…