Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Nchi ngumu sana, kwasababu kama tatizo dogo la mfumo wa umeme limeshindikana kabisa je, hiyo treni ya umeme usalama wa abiria utakuwaje?
Ni maswali tunapaswa kujiuliza kwa upana zaidi na sio mara ya kwanza labda tuseme ni bahati mbaya, lakini ukweli ni kwamba tumeshindwa kabisa kusimamia swala umeme kukatikatika hovyo hovyo bila sababu zozote hata uwanjan tu.