Hiyo Treni ya Umeme ije na Power Bank

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Nchi ngumu sana, kwasababu kama tatizo dogo la mfumo wa umeme limeshindikana kabisa je, hiyo treni ya umeme usalama wa abiria utakuwaje?

Ni maswali tunapaswa kujiuliza kwa upana zaidi na sio mara ya kwanza labda tuseme ni bahati mbaya, lakini ukweli ni kwamba tumeshindwa kabisa kusimamia swala umeme kukatikatika hovyo hovyo bila sababu zozote hata uwanjan tu.
 
Treni za umeme huwa na power storage module...(kama betri hivi)
 
Nyie ba-vichaaa asubuh asubuh tu mmeanza kujadili mashudu.
 
eti na wana mpango wa kuuzia nchi jirani huo umeme usio na uhakika
 
Tanzania ni nchi ya viroja.
Hatuna hata moja tunafanya kwa weledi, ni kupuyanga mradi tunaishi.
 
Unaongelea SGR Ambayo Imeshajifia Kabla Haijaanza Kazi

Kaburi Lake Lipo Kingolwira Morogoro Walipojenga Kituo Cha Umeme

Tanzania Kuna Fitna, Husda, Jino Pembe Hasa Linakuja Suala La Maendeleo
 
Ije na genereta lake hamna namuna![emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…