Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 155
- 278
Huu mwaka nahisi kutakuwa na kujuana sana REJEA kilichotokea mwaka Jana 2023 Pale Iringa walipokua wanataka kuajiri Watendaji Mpaka Serikali ikaingilia Kati kwa sababu ya Mivutano ya Mimi Namtaka Nimweke huyu na Mwingine anataka wake, Ajira za Kufanyiwa usaili zinagubikwa sana na Rushwa hasa kwa wakina Dada wanalaghaiwa sana.
Serikali ingeangalia Vema Kuwe na Muundo wa Wazi Bila kupendelea Watoto wa wenye Majina.
Serikali ingeangalia Vema Kuwe na Muundo wa Wazi Bila kupendelea Watoto wa wenye Majina.