Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 155
- 278
Rushwa TANZANIA inafadhiliwa Na CCMHuu mwaka Nahisi kutakuwa na Kujuana Sana REJEA kilichotokea mwaka Jana 2023 Pale Iringa walipokua wanataka kuajiri Watendaji Mpaka Serikali ikaingilia Kati kwa sababu ya Mivutano ya Mimi Namtaka Nimweke huyu na Mwingine anataka wake, Ajira za Kufanyiwa usaili zinagubikwa sana na Rushwa hasa kwa wakina Dada wanalaghaiwa sana.
Serikali ingeangalia Vema Kuwe na Muundo wa Wazi Bila kupendelea Watoto wa wenye Majina.
Daah sisi watoto wa mkulima Tutazidi Kusota sana MtaaniZile za TRA nili kunja more than 8ml ....mjini mipango
Na wanafanya wazi wazi bila aibu Inakatisha sana Tamaa vijana wanaosomaRushwa TANZANIA inafadhiliwa Na CCM
Si unaweza wekewa msahihishaji akapangwa akusahihishie vema hata kama ni umejaza sivyoWakifanya utumishi hata ukitaka kubebwa hakikisha unafaulu mtihani
Umeona wapi mwana CCM kashitakiwa au kufungwa kwa rushwqNa wanafanya wazi wazi bila aibu Inakatisha sana Tamaa vijana wanaosoma
Hakuna ukweli hapo. Kuna vigezo vingine kama hela au kujuana ama vinginevyoWakifanya utumishi hata ukitaka kubebwa hakikisha unafaulu mtihani