Hizi avatar nyingine zinatutia majaribuni

Hizi avatar nyingine zinatutia majaribuni

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,177
Reaction score
2,804
Habari za leo wana jamvi.

Ishu iko ivi kuna avatar umu kwa kweli zinatutia vishawishi kuna avatar umu ukiangalia moyo unatetemeka.

Kuna avatar umu ukiitia machoni unaanza kutengeneza pichs kuwa muhusika atakuwa anaendana na avatar aliyoiweka. Ila ukweli ni kwamba inaweza kuwa tofauti.

Nyie akina shunie, Ilu na wengine acheni kututia majaribuni, wengine tulishakula kiapo cha kutotongoza Jf majaribu tunayopitishwa na Sizonje yanatutosha kwa sasa. Ebu angalieni avatar kama ya miss chaga au Nifah safi kabisa hazina majaribu.

Ebu cheki izi avatar shida tupu .
 
1479811756509.jpg
1479811770368.jpg
 
Naona unatafuta sababu mkuu c unge wa pm tu "ebwanaee shunie unanitega" pengine angekufikiria ushaumia sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao watu wazur mno sema washkaji naogopa nianzeje
 
Aaah wewe haujaisoma namba vzr nadhani hata avatar za watu humu usingekuwa unaconcentrate nazo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao watu wazur mno sema washkaji naogopa nianzeje
Mtumie hela
Mtumie hela tena
We usichoke mtumie hela
Tuma tu hela jinsi uwezavyo
Mpaka hakikisha anapata shauku ya kutaka kukufahamu,
Mchunie halafu safari hii zidisha kiwango tuma nyingi.
Halafu mwambie mkutane akikukataa nenda ujinyonge.
 
Back
Top Bottom