Habari za leo wana jamvi.
Ishu iko ivi kuna avatar umu kwa kweli zinatutia vishawishi kuna avatar umu ukiangalia moyo unatetemeka.
Kuna avatar umu ukiitia machoni unaanza kutengeneza pichs kuwa muhusika atakuwa anaendana na avatar aliyoiweka. Ila ukweli ni kwamba inaweza kuwa tofauti.
Nyie akina shunie, Ilu na wengine acheni kututia majaribuni, wengine tulishakula kiapo cha kutotongoza Jf majaribu tunayopitishwa na Sizonje yanatutosha kwa sasa. Ebu angalieni avatar kama ya miss chaga au Nifah safi kabisa hazina majaribu.
Ebu cheki izi avatar shida tupu .