Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Unaongea na mimi, unaongea na simu? Kama ni mimi nitakupigia namba yako ninayoWw hujamuona bado Evelyn Salt
Mwacheni mke wangu shunie
mwache afe na tai shingoni mkuuNaona unatafuta sababu mkuu c unge wa pm tu "ebwanaee shunie unanitega" pengine angekufikiria ushaumia sana
ha ha haNjaa mbaya saana..... Paka avatar???
hivi unapendaje avatar fake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao watu wazur mno sema washkaji naogopa nianzeje
wengine mashemale mwache aje [emoji16]Shauri yako, wewe m"pm" tu usikilize mziki wake. Yote hayo ni madume,tena marijali! Ugonjwa wao ni kugegeda, ndiyo maana wametumia avatar za mademu.
nimekuja mkuuCc shunie
atume zote asibaki ata na miaMtumie hela
Mtumie hela tena
We usichoke mtumie hela
Tuma tu hela jinsi uwezavyo
Mpaka hakikisha anapata shauku ya kutaka kukufahamu,
Mchunie halafu safari hii zidisha kiwango tuma nyingi.
Halafu mwambie mkutane akikukataa nenda ujinyonge.
anakudanganya usimsikilizeD
Dah!! Hongera mwanangu Umelamba dume
Ndio mkuu ila kasema nisimwambie mtu
Mkuu ulifanikiwa kuopoa shunie baada ya kula darsa la kutongoza
ha ha ha unapenda mita 200 [emoji28][emoji28]Teh siku ya kuonana unakaa umbali wa mita 200 unaanza kufanya uhakiki wa avatar na real image kama havimatch unakula kona
we mtu upoHa ha ha ha
Tatizo la moyoo unajua ukipenda ,maumivu ya moyo utaumia ukipenda kwa jinsi nilivyokupenda wala sikuamini kama ungeenda(true boy voice)[emoji442] [emoji443] [emoji442] [emoji442] [emoji444]muongo huyo
Hahaaaa......aisee huwa hamna huruma kabisaatume zote asibaki ata na mia
miss u kitambo sijakuona kalibia miezinipo shunie ,mambo vipi?
huruma hatuna kama umekuja kipedesheeHahaaaa......aisee huwa hamna huruma kabisa
dah afadhalimuongo huyo
sasa mama watoto ,leo ulienda kuchukua ile ishu?huruma hatuna kama umekuja kipedeshee
umenishinda ww, yaan n kinganganizi lkn sio kosa lako ni kosa la umri wako.sasa mama watoto ,leo ulienda kuchukua ile ishu?